Proverbs 4:21
Usiruhusu yaondoke machoni pako, 2 yahifadhi ndani ya moyo wako; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let them not depart from thine eyes; keep them in the midst of thine heart.
In Context
20Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; 2 sikiliza kwa makini maneno yangu. 1
22kwa sababu ni uzima kwa wale wanaoyapata 2 na afya kwa mwili wote wa mwanadamu. 1
Cross References
Deuteronomy 4:9Mwe waangalifu, na makini ili msije mkasahau mambo ambayo mliyaona kwa macho yenu, wala kuyaacha yaondoke moyoni mwenu siku zote za uhai wenu. Mwafundishe hayo watoto wenu na watoto wao baada yao.
Proverbs 2:1Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu 2 na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako, 1
Proverbs 3:3Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe; 2 vifunge shingoni mwako, 2 viandike katika ubao wa moyo wako. 1
Proverbs 6:21Yafunge katika moyo wako daima, 2 yakaze kuizunguka shingo yako. 1
Proverbs 7:3Yafunge katika vidole vyako; 2 yaandike katika kibao cha moyo wako. 1