Mithali 4:20
Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; 2 sikiliza kwa makini maneno yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My son, attend to my words; incline thine ear unto my sayings.
In Context
19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; 2 hawajui kinachowafanya wajikwae. 1
21Usiruhusu yaondoke machoni pako, 2 yahifadhi ndani ya moyo wako; 1
Cross References
Psalms 78:1Enyi watu wangu, sikieni mafundisho yangu, 2 sikilizeni maneno ya kinywa changu. 1
Proverbs 5:1Mwanangu, sikiliza kwa makini hekima yangu, 2 sikiliza vizuri maneno yangu ya busara, 1
Proverbs 7:1Mwanangu, shika maneno yangu 2 na kuzihifadhi amri zangu ndani yako. 1
Isaiah 55:3Tegeni sikio mje kwangu, 2 nisikieni mimi, ili nafsi zenu zipate kuishi. 1 Nitafanya agano la milele nanyi, 2 pendo la uaminifu nililomwahidi Daudi. 1