The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 4 › Proverbs 4:24

Proverbs 4:24

Epusha kinywa chako na ukaidi; 2 weka mazungumzo machafu mbali na midomo yako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Put away from thee a froward mouth, and perverse lips put far from thee.

In Context

23Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo, 2 maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. 1

25Macho yako na yatazame mbele, 2 kaza macho yako moja kwa moja mbele yako. 1

Read all of Proverbs 4

Cross References

Job 11:14ukiiondolea mbali ile dhambi iliyo mkononi mwako 2 wala usiuruhusu uovu ukae hemani mwako, 1

Proverbs 6:12Mtu mbaya sana na mlaghai, 2 ambaye huzungukazunguka 3 na maneno ya upotovu, 2

Proverbs 8:13Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; 2 ninachukia kiburi na majivuno, 2 tabia mbaya na mazungumzo potovu. 1

Ezekiel 18:31Tupilieni mbali makosa yenu yote mliyoyatenda, nanyi mpate moyo mpya na roho mpya. Kwa nini mfe, ee nyumba ya Israeli?

Colossians 3:8Lakini sasa yawekeni mbali nanyi mambo kama haya yote: yaani hasira, ghadhabu, uovu, masingizio na lugha chafu kutoka midomoni mwenu.

James 1:21Kwa hiyo, ondoleeni mbali uchafu wote na uovu ambao umezidi kuwa mwingi, mkalipokee kwa unyenyekevu lile Neno lililopandwa ndani yenu ambalo laweza kuokoa nafsi zenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 4:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 4:23Proverbs 4Proverbs 4:25 →