Proverbs 4:3
Nilipokuwa mvulana mdogo katika nyumba ya baba yangu, 2 ningali mchanga na mtoto pekee kwa mama yangu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For I was my father’s son, tender and only beloved in the sight of my mother.
In Context
2Ninawapa mafundisho ya maana, 2 kwa hiyo msiyaache mafundisho yangu. 1
Cross References
1 Kings 1:13Ingia kwa Mfalme Daudi na umwambie, ‘Bwana wangu mfalme, je hukuniapia mimi mtumishi wako: “Hakika mwanao Solomoni atakuwa mfalme baada yangu na ndiye atakayeketi juu ya kiti changu cha ufalme”? Kwa nini basi Adoniya amekuwa mfalme?’
1 Chronicles 22:5Daudi akasema, “Mwanangu Solomoni bado ni mdogo wa umri na hana uzoefu. Nyumba itakayojengwa kwa ajili ya Bwana inatakiwa iwe yenye uzuri mwingi na sifa na fahari mbele ya mataifa yote. Kwa hiyo nitaifanyia matayarisho.” Daudi akafanya matayarisho makubwa kabla ya kifo chake.
Jeremiah 10:23Ninajua, Ee Bwana, kwamba maisha ya mwanadamu si yake mwenyewe; 2 hawezi kuziongoza hatua zake mwenyewe. 1
Romans 12:16Kaeni kwa amani ninyi kwa ninyi. Msijivune, bali mwe tayari kushirikiana na wanyonge. Wala msiwe watu wenye kujivuna kwamba mnajua kila kitu.