Proverbs 4:2
Ninawapa mafundisho ya maana, 2 kwa hiyo msiyaache mafundisho yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For I give you good doctrine, forsake ye not my law.
In Context
1Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba yenu; 2 sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu. 1
Cross References
Deuteronomy 32:2Mafundisho yangu na yanyeshe kama mvua, 2 na maneno yangu na yashuke kama umande, 1 kama manyunyu juu ya majani mabichi, 2 kama mvua tele juu ya mimea myororo. 1
2 Chronicles 7:19“Lakini kama ukigeuka na kuyaacha maagizo na amri nilizowapa na kwenda kuitumikia miungu mingine na kuiabudu,
Job 33:3Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; 2 midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo. 1
Psalms 89:30“Kama wanae wataacha amri yangu 2 na wasifuate sheria zangu, 1
Proverbs 8:8Maneno yote ya kinywa changu ni haki; 2 hakuna mojawapo lililopotoka wala ukaidi. 1
John 7:16Ndipo Yesu akawajibu, “Mafundisho yangu si yangu mwenyewe, bali yanatoka kwake yeye aliyenituma.