Proverbs 5:15
Kunywa maji kutoka kwenye kisima chako mwenyewe, 2 maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Drink waters out of thine own cistern, and running waters out of thine own well.
In Context
14Nimefika ukingoni mwa maangamizi kabisa 2 katikati ya kusanyiko lote.” 1
16Je, chemchemi zako zifurike katika barabara za mji 2 na vijito vyako vya maji viwanjani? 1
Cross References
1 Corinthians 7:2Lakini ili kuepuka zinaa, kila mwanaume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.