The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 5 › Proverbs 5:16

Proverbs 5:16

Je, chemchemi zako zifurike katika barabara za mji 2 na vijito vyako vya maji viwanjani? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let thy fountains be dispersed abroad, and rivers of waters in the streets.

In Context

15Kunywa maji kutoka kwenye kisima chako mwenyewe, 2 maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe. 1

17Na viwe vyako mwenyewe, 2 kamwe visishirikishwe wageni. 1

Read all of Proverbs 5

Cross References

Genesis 24:60Wakambariki Rebeka, wakamwambia, 1 “Ndugu yetu, uwe wewe kumi elfu, 2 mara elfu nyingi, 1 nao wazao wako wamiliki 2 malango ya adui zao.”

Judges 12:9Alikuwa na wana thelathini na binti thelathini. Akawaoza binti zake kwa watu wengine nje ya ukoo wake, na kuwatwalia wanawe wanawake thelathini toka nje ya ukoo wake. Ibzani akawa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka saba.

Psalms 127:3Wana ni urithi utokao kwa Bwana, 2 watoto ni zawadi kutoka kwake. 1

Isaiah 48:21Hawakuona kiu alipowaongoza kupita jangwani; 2 alifanya maji yatiririke kutoka kwenye mwamba kwa ajili yao; 1 akapasua mwamba 2 na maji yakatoka kwa nguvu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 5:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 5:15Proverbs 5Proverbs 5:17 →