Proverbs 5:18
Chemchemi yako na ibarikiwe 2 na umfurahie mke wa ujana wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let thy fountain be blessed: and rejoice with the wife of thy youth.
In Context
17Na viwe vyako mwenyewe, 2 kamwe visishirikishwe wageni. 1
Cross References
Song of Solomon 4:12Wewe ni bustani iliyofungwa, dada yangu, 2 bibi arusi wangu; 1 wewe ni chanzo cha maji kilichozungushiwa kabisa, 2 chemchemi yangu peke yangu. 1
Malachi 2:14Mnauliza, “Kwa nini?” Ni kwa sababu Bwana ni shahidi kati yako na mke wa ujana wako, kwa sababu umevunja uaminifu naye, ingawa yeye ni mwenzako, mke wa agano lako la ndoa.