Proverbs 5:19
Kulungu jike apendaye, kulungu mzuri: 2 matiti yake na yakutosheleze siku zote, 2 nawe utekwe daima na upendo wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Chemchemi yako na ibarikiwe 2 na umfurahie mke wa ujana wako. 1
Cross References
Proverbs 5:15Kunywa maji kutoka kwenye kisima chako mwenyewe, 2 maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe. 1
Song of Solomon 2:17Mpaka jua linapochomoza, 2 na vivuli vikimbie, 1 rudi, mpenzi wangu, 2 na uwe kama paa, 1 au kama ayala kijana 2 juu ya vilima vya Betheri.
Song of Solomon 7:3Matiti yako ni kama wana-paa wawili, 2 mapacha wa paa. 1