Proverbs 5:22
Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; 2 kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
His own iniquities shall take the wicked himself, and he shall be holden with the cords of his sins.
In Context
21Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za Bwana, 2 naye huyapima mapito yake yote. 1
23Atakufa kwa kukosa nidhamu, 2 akipotoshwa kwa upumbavu wake mwenyewe.
Cross References
Numbers 32:23“Lakini mkishindwa kufanya hili, mtakuwa mnatenda dhambi dhidi ya Bwana; nanyi kuweni na hakika kuwa dhambi yenu itawapata.
1 Kings 18:18Eliya akamjibu, “Mimi sijaitaabisha Israeli. Lakini wewe na jamaa ya baba yako ndio mnaofanya hivyo. Mmeziacha amri za Bwana na mkafuata Mabaali.
Job 18:8Miguu yake imemsukumia kwenye wavu, 2 naye anatangatanga kwenye matundu ya wavu. 1
Psalms 9:15Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba, 2 miguu yao imenaswa kwenye wavu waliouficha. 1
Proverbs 1:18Watu hawa huvizia kumwaga damu yao wenyewe; 2 hujivizia tu wenyewe! 1
Proverbs 11:3Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, 2 bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao. 1