Proverbs 5:23
Atakufa kwa kukosa nidhamu, 2 akipotoshwa kwa upumbavu wake mwenyewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He shall die without instruction; and in the greatness of his folly he shall go astray.
In Context
22Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; 2 kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu. 1
Cross References
Job 4:21Je, kamba za hema yao hazikungʼolewa, 2 hivyo hufa bila hekima?’
Psalms 81:12Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao 2 wafuate mashauri yao wenyewe. 1
Proverbs 10:21Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, 2 lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. 1
Proverbs 14:14Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao, 2 naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake. 1
Proverbs 21:16Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu, 2 hupumzika katika kundi la waliokufa. 1