Proverbs 5:7
Sasa basi wanangu, nisikilizeni; 2 msiache ninalowaambia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hear me now therefore, O ye children, and depart not from the words of my mouth.
In Context
6Yeye hafikiri juu ya njia ya uzima; 2 njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui. 1
8Njia zenu ziwe mbali naye, 2 msiende karibu na mlango wa nyumba yake, 1
Cross References
Proverbs 3:21Mwanangu, hifadhi maamuzi mema na busara, 2 usiache vitoke machoni pako; 1
Proverbs 4:21Usiruhusu yaondoke machoni pako, 2 yahifadhi ndani ya moyo wako; 1
Proverbs 8:32“Basi sasa wanangu, nisikilizeni; 2 heri wale wanaozishika njia zangu. 1
Hebrews 12:25Angalieni, msije mkamkataa yeye anenaye. Ikiwa wao hawakuepuka adhabu walipomkataa yeye aliyewaonya hapa duniani, sisi je, tutaokokaje tusipomsikiliza yeye anayetuonya kutoka mbinguni?