Proverbs 6:1
Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa jirani yako, 2 ikiwa umeshika mikono kwa kuweka ahadi 2 kwa ajili ya mwingine, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My son, if thou be surety for thy friend, if thou hast stricken thy hand with a stranger,
In Context
2kama umetegwa na ulichosema, 2 umenaswa kwa maneno ya kinywa chako, 1
Cross References
Genesis 43:9Mimi mwenyewe nitakuhakikishia usalama wake, mimi mwenyewe nitawajibika kumrudisha. Ikiwa sitamrudisha kwako na kumweka mbele yako, nitakuwa mwenye lawama mbele yako maisha yangu yote.
Job 17:3“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai. 2 Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu? 1
Proverbs 17:18Mtu mjinga hupana mkono ili kuweka rehani, 2 naye huweka dhamana kwa jirani yake. 1
Proverbs 22:26Usiwe mwenye kupana mikono katika rehani, 2 au kuweka dhamana kwa ajili ya madeni. 1
Philemon 1:18Kama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi.