Proverbs 6:18
moyo uwazao mipango miovu, 3 miguu iliyo myepesi kukimbilia uovu, 3
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
An heart that deviseth wicked imaginations, feet that be swift in running to mischief,
In Context
17macho ya kiburi, 3 ulimi udanganyao, 3 mikono imwagayo damu isiyo na hatia, 3
Cross References
Psalms 36:4Hata kitandani mwake hupanga hila mbaya, 2 hujitia katika njia ya dhambi 2 na hakatai lililo baya. 1
Proverbs 15:26Bwana huchukia sana mawazo ya mwovu, 2 bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye. 1
Isaiah 59:7Miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, 2 ni myepesi kumwaga damu isiyo na hatia. 1 Mawazo yao ni mawazo maovu; 2 uharibifu na maangamizi huonekana katika njia zao. 1
Micah 2:1Ole kwa wale wapangao uovu, 2 kwa wale wafanyao shauri la hila vitandani mwao! 1 Kunapopambazuka wanalitimiza 2 kwa sababu uko katika uwezo wao kutekeleza. 1
Romans 3:15“Miguu yao ina haraka kumwaga damu; 2