Proverbs 15:26
Bwana huchukia sana mawazo ya mwovu, 2 bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25Bwana hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi, 2 bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe. 1
27Mtu mwenye tamaa huletea jamaa yake taabu, 2 bali yeye achukiaye rushwa ataishi. 1
Cross References
Psalms 37:30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, 2 nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 1
Proverbs 6:16Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, 2 naam, viko saba vilivyo chukizo kwake: 3
Proverbs 11:20Bwana huwachukia sana watu wenye moyo wa upotovu, 2 bali hupendezwa na wale ambao njia zao hazina lawama. 1
Proverbs 24:9Mipango ya upumbavu ni dhambi, 2 watu huchukizwa na mwenye dhihaka. 1
Matthew 12:34Enyi uzao wa nyoka! Mnawezaje kunena mambo mema, wakati ninyi ni waovu? Kwa maana kinywa cha mtu huyanena yale yaliyoujaza moyo wake.