Isaya 59:7
Miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, 2 ni myepesi kumwaga damu isiyo na hatia. 1 Mawazo yao ni mawazo maovu; 2 uharibifu na maangamizi huonekana katika njia zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 1:16kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, 2 ni wepesi kumwaga damu. 1
Proverbs 15:26Bwana huchukia sana mawazo ya mwovu, 2 bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye. 1
Isaiah 59:3Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu 2 na vidole vyenu kwa hatia. 1 Midomo yenu imenena uongo, 2 nazo ndimi zenu zimenongʼona mambo maovu. 1
Isaiah 65:2Mchana kutwa nimeinyoosha mikono yangu 2 kwa watu wakaidi, 1 wanaokwenda katika njia ambazo si nzuri, 2 wafuatao mawazo yao wenyewe: 1
Lamentations 4:13Lakini hili lilitokea kwa sababu ya dhambi za manabii wake, 2 na maovu ya makuhani wake, 1 waliomwaga ndani yake 2 damu ya wenye haki. 1
Ezekiel 22:6“ ‘Ona jinsi kila mkuu wa Israeli aliyeko ndani yako anavyotumia nguvu zake kumwaga damu.