Proverbs 6:24
yakikulinda na mwanamke aliyepotoka, 2 kutokana na maneno laini ya mwanamke aliyepotoka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To keep thee from the evil woman, from the flattery of the tongue of a strange woman.
In Context
23Kwa maana amri hizi ni taa, 2 mafundisho haya ni mwanga 2 na maonyo ya maadili ni njia ya uzima, 1
25Moyo wako usitamani uzuri wake 2 wala macho yake yasikuteke, 1
Cross References
Proverbs 5:3Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba 2 hudondoza asali, 1 na maneno ya kinywa chake 2 ni laini kuliko mafuta; 1
Ecclesiastes 7:26Nimeona jambo lililo chungu kuliko mauti, 2 mwanamke ambaye ni mtego, 1 ambaye moyo wake ni wavu wa kutegea 2 na mikono yake ni minyororo. 1 Mtu ampendezaye Mungu atamkwepa, 2 bali mwenye dhambi atanaswa naye.