The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 6 › Proverbs 6:26

Proverbs 6:26

kwa maana kahaba atakufanya uwe maskini, 2 hata ukose kipande cha mkate, 2 naye mwanamke mzinzi huwinda maisha yako hasa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For by means of a whorish woman a man is brought to a piece of bread: and the adulteress will hunt for the precious life.

In Context

25Moyo wako usitamani uzuri wake 2 wala macho yake yasikuteke, 1

27Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake 2 bila nguo zake kuungua? 1

Read all of Proverbs 6

Cross References

Genesis 39:7baada ya kitambo mke wa Potifa akamtamani Yosefu, akamwambia, “Njoo, ukutane nami kimwili!”

1 Samuel 2:36Kisha kila mmoja aliyeachwa katika mbari yenu atakuja na kusujudu mbele yake kwa ajili ya kipande cha fedha na ganda la mkate akisema, “Niteue katika baadhi ya ofisi ya ukuhani ili niweze kupata chakula.” ’ ”

Proverbs 7:23mpaka mshale umchome ini lake, 2 kama ndege anayenaswa kwenye mtego, 2 bila kujua itamgharimu maisha yake. 1

Proverbs 29:8Wenye mzaha huuchochea mji, 2 bali watu wenye hekima hugeuzia mbali hasira. 1

Ezekiel 13:18na useme, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ole wao wanawake washonao hirizi za uchawi juu ya viwiko vyao vyote na kutengeneza shela za urefu wa aina mbalimbali kwa ajili ya kufunika vichwa vyao kwa makusudi ya kuwanasa watu. Je, mtatega uhai wa watu wangu lakini ninyi mponye wa kwenu?

Luke 15:30Lakini huyu mwanao ambaye ametapanya mali yako kwa makahaba aliporudi nyumbani, wewe umemchinjia ndama aliyenona!’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 6:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 6:25Proverbs 6Proverbs 6:27 →