Proverbs 29:8
Wenye mzaha huuchochea mji, 2 bali watu wenye hekima hugeuzia mbali hasira. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Scornful men bring a city into a snare: but wise men turn away wrath.
In Context
7Mwenye haki hujali haki kwa ajili ya maskini, 2 bali mwovu hajishughulishi na hilo. 1
Cross References
Numbers 16:48Aroni akasimama kati ya waliokuwa hai na waliokufa, nayo tauni ikakoma.
Deuteronomy 9:18Ndipo tena nikasujudu mbele za Bwana kwa siku arobaini usiku na mchana. Sikula mkate wala sikunywa maji, kwa sababu ya dhambi yote mliyoifanya, mkifanya lile lililo ovu mbele za Bwana na kumkasirisha.
Proverbs 11:11Kutokana na baraka ya mtu mnyofu mji hukwezwa, 2 bali kwa kinywa cha mwovu mji huharibiwa. 1
Proverbs 16:14Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti, 2 bali mtu mwenye hekima ataituliza. 1
Jeremiah 15:1Kisha Bwana akaniambia: “Hata kama Mose na Samweli wangesimama mbele zangu, moyo wangu usingewaelekea watu hawa. Waondoe mbele za macho yangu! Waache waende!
Amos 7:2Wakati nzige walikuwa wamekula mimea yote ya nchi, nililia kwa sauti kuu, “ Bwana Mwenyezi, samehe! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!”