Proverbs 6:27
Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake 2 bila nguo zake kuungua? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Can a man take fire in his bosom, and his clothes not be burned?
In Context
28Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto yanayowaka 2 bila miguu yake kuungua? 1
Cross References
Job 31:12Ni moto uwakao kwa Uharibifu; + 31:12 Kwa Kiebrania ni Abadon ( Ay 26:6; Mit 15:11 ). 2 ungekuwa umengʼoa mavuno yangu. 1
James 3:5Vivyo hivyo ulimi ni kiungo kidogo sana katika mwili, lakini hujivuna majivuno makuu. Fikirini jinsi moto mdogo unavyoweza kuteketeza msitu mkubwa!