The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 7 › Proverbs 7:11

Proverbs 7:11

(Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi, 2 miguu yake haitulii nyumbani; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

(She is loud and stubborn; her feet abide not in her house:

In Context

10Ndipo huyo mwanamke akatoka kumlaki, 2 hali amevaa kama kahaba akiwa na nia ya udanganyifu. 1

12mara kwenye barabara za mji, 2 mara kwenye viwanja vikubwa, 2 kwenye kila pembe huvizia.) 1

Read all of Proverbs 7

Cross References

Proverbs 9:13Mwanamke aitwaye Mpumbavu ana kelele; 2 hana adabu na hana maarifa. 1

Proverbs 27:14Kama mtu akimbariki jirani yake kwa sauti kuu 2 asubuhi na mapema, 2 itahesabiwa kama ni laana. 1

1 Timothy 5:13Zaidi ya hayo, wajane kama hao huwa na tabia ya uvivu wakizurura nyumba kwa nyumba, wala hawawi wavivu tu, bali pia huwa wasengenyaji, wajiingizao katika mambo yasiyowahusu na kusema mambo yasiyowapasa kusema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 7:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 7:10Proverbs 7Proverbs 7:12 →