Proverbs 7:10
Ndipo huyo mwanamke akatoka kumlaki, 2 hali amevaa kama kahaba akiwa na nia ya udanganyifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And, behold, there met him a woman with the attire of an harlot, and subtil of heart.
In Context
9wakati wa machweo, jua likipungua nuru yake, 2 giza la usiku lilipokuwa likiingia. 1
11(Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi, 2 miguu yake haitulii nyumbani; 1
Cross References
Genesis 38:14alivua mavazi yake ya ujane, akajifunika kwa shela ili asifahamike, akaketi kwenye mlango wa Enaimu, ambao upo njiani kuelekea Timna. Akafanya hivyo kwa sababu aliona kwamba, ingawa Shela amekua, lakini alikuwa hajakabidhiwa kwake kuwa mkewe.
2 Kings 9:22Yoramu alipomwona Yehu akauliza, “Je, Yehu, umekuja kwa amani?” Yehu akajibu, “Kunawezaje kuwa na amani wakati ibada za sanamu na uchawi wa mama yako Yezebeli ungaliko?”
Proverbs 23:28Kama mnyangʼanyi, hungojea akivizia, 2 naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume. 1
Isaiah 23:16“Twaa kinubi, tembea mjini kote, 2 ewe kahaba uliyesahauliwa; 1 piga kinubi vizuri, imba nyimbo nyingi, 2 ili upate kukumbukwa.”
2 Corinthians 11:2Ninawaonea wivu, wivu wa Kimungu, kwa kuwa mimi niliwaposea mume mmoja, ili niwalete kwa Kristo kama mabikira safi.
Revelation 17:3Kisha yule malaika akanichukua katika Roho akanipeleka jangwani. Huko nikamwona mwanamke mmoja ameketi juu ya mnyama mwekundu aliyejaa majina ya kumkufuru Mungu mwili mzima. Mnyama huyo alikuwa na vichwa saba na pembe kumi.