Proverbs 7:12
mara kwenye barabara za mji, 2 mara kwenye viwanja vikubwa, 2 kwenye kila pembe huvizia.) 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now is she without, now in the streets, and lieth in wait at every corner.)
In Context
11(Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi, 2 miguu yake haitulii nyumbani; 1
13Huyo mwanamke alimkumbatia kijana na kumbusu, 2 na kwa uso usio na haya akamwambia: 1
Cross References
Proverbs 7:8Alikuwa akishuka njiani karibu na pembe ya kwake, 2 akielekea kwenye nyumba ya huyo mwanamke 1
Proverbs 23:28Kama mnyangʼanyi, hungojea akivizia, 2 naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume. 1
Jeremiah 2:33Je, wewe una ustadi kiasi gani katika kufuatia mapenzi! 2 Hata wale wanawake wabaya kuliko wote 2 wanaweza kujifunza kutokana na njia zako. 1
Jeremiah 3:2“Inua macho utazame miinuko iliyo kame na uone. 2 Je, pana mahali ambapo hawajalala nawe? 1 Uliketi kando ya barabara ukiwasubiri wapenzi, 2 ukakaa kama yeye ahamahamaye jangwani. 1 Umeinajisi nchi 2 kwa ukahaba wako na uovu wako. 1
Ezekiel 16:31Unapojenga jukwaa lako kila mwanzo wa barabara na kufanyiza mahali pa fahari pa ibada za miungu katika kila kiwanja cha wazi, lakini hukuwa kama kahaba, kwa sababu ulidharau malipo.
Revelation 18:23Mwanga wa taa 2 hautaangaza ndani yako tena. 1 Sauti ya bwana arusi na bibi arusi 2 kamwe haitasikika ndani yako tena. 1 Wafanyabiashara wako walikuwa watu maarufu wa dunia. 2 Mataifa yote yalipotoshwa kwa uchawi wako. 1