Proverbs 7:17
Nimetia manukato kitanda changu 2 kwa manemane, udi na mdalasini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I have perfumed my bed with myrrh, aloes, and cinnamon.
In Context
16Nimetandika kitanda changu 2 kwa kitani za rangi kutoka Misri. 1
18Njoo, tuzame katika mapenzi mpaka asubuhi; 2 tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi! 1
Cross References
Exodus 30:23“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500 + 30:23 Shekeli 500 ni sawa na kilo 6. za manemane ya maji, shekeli 250 + 30:23 Shekeli 250 ni sawa na kilo 3. za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,
Psalms 45:9Binti za wafalme ni miongoni mwa wanawake wako waheshimiwa; 2 kuume kwako yupo bibi arusi malkia aliyevaa dhahabu ya Ofiri. 1
Song of Solomon 4:13Mimea yako ni bustani ya mikomamanga 2 yenye matunda mazuri sana, 2 yenye hina na nardo, 1
Isaiah 57:7Umeweka kitanda chako juu kwenye kilima kirefu kilichoinuka, 2 huko ulikwenda kutoa dhabihu zako. 1