Proverbs 8:18
Utajiri na heshima viko kwangu, 2 utajiri udumuo na mafanikio. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness.
In Context
17Nawapenda wale wanipendao, 2 na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. 1
19Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; 2 kile nitoacho hupita fedha iliyo bora. 1
Cross References
Psalms 112:3Nyumbani mwake kuna mali na utajiri, 2 haki yake hudumu milele. 1
Proverbs 4:7Hekima ni bora kuliko vitu vyote; kwa hiyo jipe hekima. 2 Hata ikikugharimu vyote ulivyo navyo, pata ufahamu. 1
Proverbs 24:4kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa 2 vitu vya thamani na vya kupendeza. 1
Matthew 6:19“Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba.
Luke 10:42Lakini kunahitajika kitu kimoja tu. Maria amechagua kile kilicho bora, wala hakuna mtu atakayemwondolea.”
Luke 12:33Uzeni mali zenu mkawape maskini. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, mkajiwekee hazina mbinguni isiyokwisha, mahali ambapo mwizi hakaribii wala nondo haharibu.