Proverbs 8:19
Tunda langu ni bora kuliko dhahabu safi; 2 kile nitoacho hupita fedha iliyo bora. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver.
In Context
18Utajiri na heshima viko kwangu, 2 utajiri udumuo na mafanikio. 1
20Natembea katika njia ya unyofu 2 katika mapito ya haki, 1
Cross References
Job 28:19Yakuti manjano ipatikanayo Kushi haiwezi kulinganishwa nayo, 2 wala haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi. 1
Proverbs 8:10Chagua mafundisho yangu badala ya fedha, 2 maarifa badala ya dhahabu safi, 1
Ecclesiastes 7:12Hekima ni ulinzi kama fedha ilivyo ulinzi, 2 lakini faida ya maarifa ni hii: 2 kwamba hekima huhifadhi maisha ya aliye nayo.