Proverbs 8:22
“ Bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, 2 kabla ya matendo yake ya zamani; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The LORD possessed me in the beginning of his way, before his works of old.
In Context
21nawapa utajiri wale wanipendao 2 na kuzijaza hazina zao. 1
23niliteuliwa tangu milele, 2 tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa. 1
Cross References
Job 28:26alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua 2 na njia kwa ajili ya umeme wa radi, 1
Psalms 104:24Ee Bwana, jinsi matendo yako yalivyo mengi! 2 Kwa hekima ulizifanya zote, 2 dunia imejaa viumbe vyako. 1
John 1:1Hapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.