Proverbs 8:21
nawapa utajiri wale wanipendao 2 na kuzijaza hazina zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures.
In Context
20Natembea katika njia ya unyofu 2 katika mapito ya haki, 1
22“ Bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, 2 kabla ya matendo yake ya zamani; 1
Cross References
Genesis 15:14Lakini nitaliadhibu taifa lile watakalolitumikia kama watumwa, na baadaye watatoka huko na mali nyingi.
Psalms 16:11Umenijulisha njia ya uzima; 2 utanijaza na furaha mbele zako, 1 pamoja na furaha za milele 2 katika mkono wako wa kuume.
Proverbs 6:31Pamoja na hayo, kama akikamatwa, 2 lazima alipe mara saba, 2 ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake. 1
Proverbs 24:4kwa njia ya maarifa vyumba vyake hujazwa 2 vitu vya thamani na vya kupendeza. 1
John 1:1Hapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Ephesians 3:19na kujua upendo huu unaopita fahamu, ili mpate kujazwa na kufikia kipimo cha ukamilifu wote wa Mungu.