Proverbs 8:23
niliteuliwa tangu milele, 2 tangu mwanzoni, kabla ya dunia kuumbwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I was set up from everlasting, from the beginning, or ever the earth was.
In Context
22“ Bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, 2 kabla ya matendo yake ya zamani; 1
24Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, 2 wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji; 1
Cross References
Genesis 1:26Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale juu ya samaki wa baharini na ndege wa angani, juu ya mifugo, juu ya dunia yote, na juu ya viumbe wote watambaao juu ya nchi.” 1
Micah 5:1Panga majeshi yako, ee mji wa majeshi, 2 kwa kuwa kuzingirwa kumepangwa dhidi yetu. 1 Watampiga mtawala wa Israeli 2 shavuni kwa fimbo. 1
John 17:5Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na wewe kabla ulimwengu haujakuwepo. 1 Yesu Awaombea Wanafunzi Wake
Ephesians 1:10ili yapate kutimizwa wakati mkamilifu utakapowadia, yaani, kuvitia vitu vyote vya mbinguni na vya duniani pamoja, chini ya kiongozi mmoja, ndiye Kristo.