Proverbs 9:16
Anawaambia wale wasio na akili, 2 “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15akiita wale wapitao karibu, 2 waendao moja kwa moja kwenye njia yao. 1
17“Maji yaliyoibiwa ni matamu; 2 chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!” 1
Cross References
Proverbs 9:4Anawaambia wale wasio na akili, 2 “Wote ambao ni wajinga na waje hapa! 1