The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 9 › Proverbs 9:17

Proverbs 9:17

“Maji yaliyoibiwa ni matamu; 2 chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Stolen waters are sweet, and bread eaten in secret is pleasant.

In Context

16Anawaambia wale wasio na akili, 2 “Wote ambao ni wajinga na waje hapa ndani!” 1

18Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, 2 kwamba wageni wake huyo mwanamke 2 wako katika vilindi vya kuzimu.

Read all of Proverbs 9

Cross References

2 Kings 5:24Gehazi alipofika kwenye kilima, akavichukua vile vitu kutoka kwa wale watumishi na kuvificha ndani ya nyumba. Akawaaga wale watu, nao wakaondoka.

Proverbs 7:20Amechukua mkoba uliojazwa fedha 2 na hatakuwepo nyumbani karibuni.” 1

Proverbs 23:31Usiukodolee macho mvinyo wakati ukiwa mwekundu, 2 wakati unapometameta kwenye bilauri, 2 wakati ushukapo taratibu! 1

Romans 7:8Lakini dhambi kwa kupata nafasi katika amri, hii ikazaa ndani yangu kila aina ya tamaa. Kwa maana pasipo sheria, dhambi imekufa.

James 1:14Lakini kila mtu hujaribiwa wakati anapovutwa na kudanganywa na tamaa zake mwenyewe zilizo mbaya.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 9:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 9:16Proverbs 9Proverbs 9:18 →