The Bible Software
bible.software › Zaburi › Zaburi 135 › Zaburi 135:13

Zaburi 135:13

Ee Bwana, jina lako ladumu milele, 2 kumbukumbu za fahari zako, Ee Bwana, kwa vizazi vyote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thy name, O LORD, endureth for ever; and thy memorial, O LORD, throughout all generations.

In Context

12akatoa nchi yao kuwa urithi, 2 urithi kwa watu wake Israeli. 1

14Maana Bwana atawathibitisha watu wake, 2 na kuwahurumia watumishi wake. 1

Read all of Zaburi 135

Cross References

Exodus 3:15Vilevile Mungu akamwambia Mose, “Waambie Waisraeli, ‘ Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo amenituma kwenu.’ Hili ndilo Jina langu milele, Jina ambalo mtanikumbuka kwalo kutoka kizazi hadi kizazi.

Psalms 8:1Ee Bwana, Bwana wetu, 2 tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote! 1 Umeuweka utukufu wako 2 juu ya mbingu. 1

Psalms 72:17Jina lake na lidumu milele, 2 na lidumu kama jua. 1 Mataifa yote yatabarikiwa kupitia kwake, 2 nao watamwita aliyebarikiwa. 1

Psalms 102:12Lakini wewe, Ee Bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, 2 sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote. 1

Psalms 102:21Kwa hiyo jina la Bwana latangazwa huko Sayuni 2 na sifa zake katika Yerusalemu, 1

Matthew 6:9“Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba: 1 “ ‘Baba yetu uliye mbinguni, 2 Jina lako litukuzwe. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 135:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 135:12Zaburi 135Zaburi 135:14 →