Zaburi 116:3
Kamba za mauti zilinizunguka, 2 maumivu makuu ya kuzimu yalinipata, 2 nikalemewa na taabu na huzuni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Kwa sababu amenitegea sikio lake, 2 nitamwita siku zote za maisha yangu. 1
4Ndipo nikaliitia jina la Bwana: 2 “Ee Bwana, niokoe!” 1
Cross References
Psalms 18:4Kamba za mauti zilinizunguka, 2 mafuriko ya maangamizi yalinilemea. 1
Psalms 32:3Niliponyamaza, mifupa yangu ilichakaa 2 kwa kulia kwa maumivu makali mchana kutwa. 1
Psalms 88:6Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, 2 katika vina vya giza nene. 1
Jonah 2:2Akasema: 1 “Katika shida yangu nalimwita Bwana, 2 naye akanijibu. 1 Kutoka kina cha kaburi + 2:2 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. niliomba msaada, 2 nawe ukasikiliza kilio changu. 1
Luke 22:44Naye akiwa katika maumivu makuu, akaomba kwa bidii, nalo jasho lake likawa kama matone ya damu yakidondoka ardhini.