The Bible Software
bible.softwareZaburiZaburi 13 › Zaburi 13:4

Zaburi 13:4

Adui yangu atasema, “Nimemshinda,” 2 nao adui zangu watashangilia nitakapoanguka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Lest mine enemy say, I have prevailed against him; and those that trouble me rejoice when I am moved.

In Context

3Nitazame, unijibu, Ee Bwana Mungu wangu. 2 Yatie nuru macho yangu, 2 ama sivyo nitalala usingizi wa mauti. 1

5Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; 2 moyo wangu unashangilia katika wokovu wako. 1

Read all of Zaburi 13

Cross References

Joshua 7:9Wakanaani na watu wengine wa nchi watasikia habari hii, nao watatuzunguka na kutufutilia jina letu duniani. Utafanya nini basi kwa ajili ya jina lako mwenyewe lililo kuu?”

Psalms 9:19Ee Bwana, inuka, usimwache binadamu ashinde. 2 Mataifa na yahukumiwe mbele zako. 1

Psalms 25:2ni wewe ninayekutumainia, 2 Ee Mungu wangu. 1 Usiniache niaibike, 2 wala usiache adui zangu wakanishinda. 1

Psalms 35:25Usiwaache wafikiri, “Aha, hili ndilo tulilotaka!” 2 Au waseme, “Tumemmeza.” 1

Psalms 55:22Mtwike Bwana fadhaa zako, 2 naye atakutegemeza, 2 hatamwacha kamwe mwenye haki wake aanguke. 1

Psalms 62:6Yeye peke yake ndiye mwamba wangu na wokovu wangu; 2 ndiye ngome yangu, sitatikisika. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zaburi 13:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zaburi 13:3Zaburi 13Zaburi 13:5 →