Zaburi 13:3
Nitazame, unijibu, Ee Bwana Mungu wangu. 2 Yatie nuru macho yangu, 2 ama sivyo nitalala usingizi wa mauti. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Consider and hear me, O LORD my God: lighten mine eyes, lest I sleep the sleep of death;
In Context
4Adui yangu atasema, “Nimemshinda,” 2 nao adui zangu watashangilia nitakapoanguka. 1
Cross References
1 Samuel 14:29Yonathani akasema, “Baba yangu ameitaabisha nchi. Ona jinsi nilivyopata nguvu mpya nilipoonja asali hii kidogo.
Psalms 5:1Ee Bwana, tegea sikio maneno yangu, 2 uangalie kupiga kite kwangu. 1
Psalms 18:28Wewe, Ee Bwana, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka; 2 Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga. 1
Psalms 31:7Nitafurahia na kushangilia upendo wako, 2 kwa kuwa uliona mateso yangu 2 na ulijua maumivu ya nafsi yangu. 1
Jeremiah 51:39Lakini wakati wakiwa wameamshwa, 2 nitawaandalia karamu 2 na kuwafanya walewe, 1 ili wapige kelele kwa kicheko, 2 kisha walale milele na wasiamke,” 4 asema Bwana. 1
Lamentations 5:1Kumbuka, Ee Bwana, yaliyotupata, 2 tazama, nawe uione aibu yetu. 1