Zaburi 147:13
kwa maana huimarisha makomeo ya malango yako 2 na huwabariki watu wako walio ndani yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For he hath strengthened the bars of thy gates; he hath blessed thy children within thee.
In Context
12Mtukuze Bwana, ee Yerusalemu, 2 msifu Mungu wako, ee Sayuni, 1
14Huwapa amani mipakani mwenu 2 na kukushibisha kwa ngano safi kabisa. 1
Cross References
Nehemiah 6:1Habari zilipofika kwa Sanbalati, Tobia, Geshemu Mwarabu, na adui zetu wengine kwamba nimejenga tena ukuta na hakuna nafasi iliyobakia ndani mwake, ingawa mpaka wakati huo sikuwa nimeweka milango kwenye malango,
Nehemiah 7:3Nikawaambia, “Malango ya Yerusalemu yasifunguliwe mpaka jua litakapokuwa limepanda. Walinzi wa malango wakiwa bado kwenye zamu, waamuru wafunge milango na waweke makomeo. Pia wateueni wenyeji wa Yerusalemu wawe walinzi, kila mmoja kwenye lindo lake, na wengine karibu na nyumba zao wenyewe.” 1 Orodha Ya Waliorudi Toka Uhamishoni (Ezra 2:1-70)
Psalms 48:11Mlima Sayuni unashangilia, 2 vijiji vya Yuda vinafurahi 2 kwa sababu ya hukumu zako. 1
Psalms 115:14Bwana na awawezeshe kuongezeka, 2 ninyi na watoto wenu. 1
Psalms 128:3Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao 2 ndani ya nyumba yako; 1 wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni 2 kuizunguka meza yako. 1
Isaiah 44:3Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu, 2 na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka; 1 nitamimina Roho wangu juu ya watoto wako, 2 nayo baraka yangu juu ya wazao wako. 1