Zaburi 16:2
Nilimwambia Bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu; 2 pasipo wewe sina jambo jema.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
O my soul, thou hast said unto the LORD, Thou art my Lord: my goodness extendeth not to thee;
In Context
1Ee Mungu, uniweke salama, 2 kwa maana kwako nimekimbilia. 1
3Kwa habari ya watakatifu walioko duniani, 2 ndio walio wa fahari ambao ninapendezwa nao. 1
Cross References
Job 35:7Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini, 2 au yeye anapokea nini mkononi kwako? 1
Psalms 27:8Moyo wangu unasema kuhusu wewe, 2 “Utafute uso wake!” 2 Uso wako, Bwana “Nitautafuta.” 1
Psalms 50:9Sina haja ya fahali wa banda lako, 2 au mbuzi wa zizi lako. 1
Psalms 89:26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, 2 Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’ 1
Isaiah 26:13Ee Bwana, Mungu wetu, mabwana wengine zaidi ya wewe wametutawala, 2 lakini jina lako pekee ndilo tunaloliheshimu. 1
Zechariah 13:9Hii theluthi moja nitaileta katika moto; 2 nitawasafisha kama fedha isafishwavyo 2 na kuwajaribu kama dhahabu. 1 Wataliitia Jina langu 2 nami nitawajibu; 1 nitasema, ‘Hawa ni watu wangu,’ 2 nao watasema, ‘ Bwana ni Mungu wetu.’ ”