Isaiah 26:13
Ee Bwana, Mungu wetu, mabwana wengine zaidi ya wewe wametutawala, 2 lakini jina lako pekee ndilo tunaloliheshimu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 23:7Msishirikiane na mataifa yaliyobakia katikati yenu, wala msiombe kwa majina ya miungu yao au kuapa kwayo. Msiitumikie wala kuisujudia.
Isaiah 2:8Nchi yao imejaa sanamu, 2 wanasujudia kazi za mikono yao, 2 vitu vile vidole vyao vimevitengeneza. 1
Isaiah 12:4Katika siku hiyo mtasema: 1 “Mshukuruni Bwana, mliitie jina lake; 2 julisheni miongoni mwa mataifa yale aliyoyafanya, 2 tangazeni kuwa jina lake limetukuka. 1
Isaiah 63:7Nitasimulia juu ya wema wa Bwana, 2 kwa matendo ambayo apaswa kusifiwa, 1 sawasawa na yote ambayo Bwana 2 ametenda kwa ajili yetu: 1 naam, mambo mengi mema aliyoyatenda 2 kwa ajili ya nyumba ya Israeli, 1 sawasawa na huruma zake 2 na wema wake mwingi. 1
John 8:32Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru.”
1 Corinthians 4:7Kwa maana ni nani aliyewafanya kuwa tofauti na wengine? Ni nini mlicho nacho ambacho hamkupokea? Nanyi kama mlipokea, kwa nini mnajivuna kama vile hamkupokea?