Zechariah 13:9
Hii theluthi moja nitaileta katika moto; 2 nitawasafisha kama fedha isafishwavyo 2 na kuwajaribu kama dhahabu. 1 Wataliitia Jina langu 2 nami nitawajibu; 1 nitasema, ‘Hawa ni watu wangu,’ 2 nao watasema, ‘ Bwana ni Mungu wetu.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:12Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.
Deuteronomy 26:17Umetangaza leo kwamba Bwana ndiye Mungu wako na kwamba utafuata njia zake, kwamba utayashika maagizo yake, amri zake na sheria zake nawe utamtii.
Job 23:10Lakini anaijua njia niiendeayo; 2 akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu. 1
Psalms 34:15Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, 2 na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao. 1
Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”
Psalms 91:15Ataniita, nami nitamjibu; 2 nitakuwa pamoja naye katika taabu, 2 nitamwokoa na kumheshimu. 1