Zaburi 2:3
Wanasema, “Tuvunje minyororo yao 2 na kuvitupilia mbali vifungo vyao.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let us break their bands asunder, and cast away their cords from us.
In Context
4Yeye atawalaye mbinguni hucheka, 2 Bwana huwadharau. 1
Cross References
Jeremiah 5:5Kwa hiyo nitakwenda kwa viongozi 2 na kuzungumza nao, 1 hakika wao wanaijua njia ya Bwana, 2 sheria ya Mungu wao.” 1 Lakini kwa nia moja nao pia walikuwa wameivunja nira 2 na kuvivunja vifungo. 1
Luke 19:27Lakini wale adui zangu ambao hawakutaka mimi niwe mfalme juu yao. Waleteni hapa mkawaue mbele yangu.’ ” 1 Yesu Aingia Yerusalemu Kwa Ushindi (Mathayo 21:1-11; Marko 11:1-11; Yohana 12:12-19)