Zaburi 2:4
Yeye atawalaye mbinguni hucheka, 2 Bwana huwadharau. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He that sitteth in the heavens shall laugh: the Lord shall have them in derision.
In Context
3Wanasema, “Tuvunje minyororo yao 2 na kuvitupilia mbali vifungo vyao.” 1
5Kisha huwakemea katika hasira yake 2 na kuwaogopesha katika ghadhabu yake, akisema, 1
Cross References
2 Kings 19:21Hili ndilo neno ambalo Bwana amelisema dhidi yake: 1 “ ‘Bikira Binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. 2 Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia. 1
Psalms 37:13bali Bwana huwacheka waovu, 2 kwa sababu anajua siku yao inakuja. 1
Psalms 59:8Lakini wewe, Bwana, uwacheke; 2 unayadharau mataifa hayo yote. 1
Psalms 68:33mwimbieni sifa yeye apandaye mbingu za kale zilizo juu, 2 yeye angurumaye kwa sauti kuu. 1
Psalms 123:1Ninayainua macho yangu kwako, 2 kwako wewe ambaye kiti chako cha enzi kiko mbinguni. 1
Isaiah 40:22Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, 2 nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi. 1 Huzitandaza mbingu kama chandarua, 2 na kuzitandaza kama hema la kuishi. 1