Psalms 21:3
Ulimkaribisha kwa baraka tele 2 na kumvika taji ya dhahabu safi kichwani pake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Umempa haja ya moyo wake 2 na hukumzuilia maombi ya midomo yake. 1
4Alikuomba maisha, nawe ukampa, 2 wingi wa siku milele na milele. 1
Cross References
1 Samuel 16:13Basi Samweli akachukua ile pembe ya mafuta na kumtia mafuta mbele ya ndugu zake, kuanzia siku ile na kuendelea Roho wa Bwana akaja juu ya Daudi kwa nguvu. Kisha Samweli akaenda zake Rama. 1 Daudi Katika Utumishi Kwa Sauli
2 Samuel 5:3Wazee wote wa Israeli wakamwendea Mfalme Daudi huko Hebroni, mfalme akafanya mapatano nao huko Hebroni mbele za Bwana, nao wakamtia Daudi mafuta kuwa mfalme wa Israeli.
1 Chronicles 20:2Daudi akachukua taji kutoka kwa kichwa cha mfalme wao, lililokuwa na uzito wa talanta moja ya dhahabu, + 20:2 Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34. nayo ilizungushiwa vito vya thamani. Ikawekwa juu ya kichwa cha Daudi. Alichukua nyara nyingi kutoka mjini huo.
Job 41:11Ni nani mwenye madai dhidi yangu ili nipate kumlipa? 2 Kila kitu kilicho chini ya mbingu ni mali yangu. 1
Psalms 20:5Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, 2 tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu. 1 Bwana na akupe haja zako zote. 1
Psalms 59:10Mungu wangu unipendaye. 1 Mungu atanitangulia, 2 naye atanifanya niwachekelee 2 wale wanaonisingizia. 1