Psalms 21:6
Hakika umempa baraka za milele, 2 umemfanya awe na furaha 2 kwa shangwe ya uwepo wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa, 2 umeweka juu yake fahari na utukufu. 1
7Kwa kuwa mfalme anamtumaini Bwana; 2 kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa. 1
Cross References
2 Samuel 7:9Nimekuwa pamoja nawe popote ulipokwenda, nami nimekuondolea mbali adui zako wote mbele yako. Basi nitalifanya jina lako kuwa kuu kama majina ya watu walio wakuu sana duniani.
Psalms 4:6Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye 2 kutuonyesha jema lolote?” 2 Ee Bwana, tuangazie nuru ya uso wako. 1
Psalms 43:4Ndipo nitakwenda madhabahuni pa Mungu, 2 kwa Mungu, furaha yangu na shangwe yangu. 1 Nitakusifu kwa kinubi, 2 Ee Mungu, Mungu wangu. 1
Psalms 63:2Nimekuona katika mahali patakatifu 2 na kuuona uwezo wako na utukufu wako. 1
Luke 2:10Lakini malaika akawaambia: “Msiogope. Kwa maana tazama nawaletea habari njema za furaha itakayokuwa kwa watu wote.
Acts 2:28Umenionyesha njia za uzima, 2 utanijaza na furaha mbele zako.’