Psalms 21:7
Kwa kuwa mfalme anamtumaini Bwana; 2 kwa upendo usiokoma wa Aliye Juu Sana hatatikiswa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the king trusteth in the LORD, and through the mercy of the most High he shall not be moved.
In Context
6Hakika umempa baraka za milele, 2 umemfanya awe na furaha 2 kwa shangwe ya uwepo wako. 1
8Mkono wako utawashika adui zako wote, 2 mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. 1
Cross References
1 Samuel 30:6Daudi alihuzunika sana kwa sababu watu walikuwa wakisemezana juu ya kumpiga kwa mawe. Kila mmoja alikuwa na uchungu rohoni kwa sababu ya wanawe na binti zake. Lakini Daudi akajitia nguvu katika Bwana, Mungu wake.
Psalms 13:5Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; 2 moyo wangu unashangilia katika wokovu wako. 1
Psalms 18:2Bwana ni mwamba wangu, 2 ngome yangu na mwokozi wangu, 1 Mungu wangu ni mwamba, 2 ambaye kwake ninakimbilia. 1 Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, 2 ngome yangu. 1
Psalms 26:1Ee Bwana, nithibitishe katika haki, 2 maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; 1 nimemtumainia Bwana 2 bila kusitasita. 1
Psalms 61:4Natamani kukaa hemani mwako milele, 2 na kukimbilia chini ya uvuli wa mbawa zako. 1
Psalms 72:17Jina lake na lidumu milele, 2 na lidumu kama jua. 1 Mataifa yote yatabarikiwa kupitia kwake, 2 nao watamwita aliyebarikiwa. 1