Zaburi 22:13
Simba wangurumao wanaorarua mawindo 2 yao hupanua vinywa vyao dhidi yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They gaped upon me with their mouths, as a ravening and a roaring lion.
In Context
12Mafahali wengi wamenizunguka, 2 mafahali wa Bashani wenye nguvu 2 wamenizingira. 1
Cross References
Psalms 7:2la sivyo watanirarua kama simba 2 na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa. 1
Psalms 22:7Wote wanionao hunidhihaki, 2 hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao: 1
Psalms 35:17Ee Bwana, utatazama mpaka lini? 2 Niokoe maisha yangu na maangamizi yao, 1 uhai wangu wa thamani 2 kutokana na simba hawa. 1
Lamentations 2:16Adui zako wote wanapanua 2 vinywa vyao dhidi yako, 1 wanadhihaki na kusaga meno yao 2 na kusema, “Tumemmeza. 1 Hii ndiyo siku tuliyoingojea, 2 tumeishi na kuiona.” 1
Ezekiel 22:27Maafisa wake walioko ndani yake ni kama mbwa mwitu wararuao mawindo yao, wanamwaga damu na kuua watu ili kupata faida ya udhalimu.
Matthew 26:59Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi lote wakatafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu ili wapate kumuua.