Zaburi 7:2
la sivyo watanirarua kama simba 2 na kunichana vipande vipande, asiwepo wa kuniokoa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Lest he tear my soul like a lion, rending it in pieces, while there is none to deliver.
In Context
1Ee Bwana, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe, 2 uniokoe na kunikomboa na wote wanaonifuatia, 1
3Ee Bwana, Mungu wangu, kama nimetenda haya 2 na kuna hatia mikononi mwangu, 1
Cross References
Deuteronomy 33:20Kuhusu Gadi akasema: 1 “Atabarikiwa yeye aongezaye milki ya Gadi! 2 Gadi huishi huko kama simba, 2 akirarua kwenye mkono au kichwa. 1
2 Samuel 14:6Mimi mtumishi wako nilikuwa na wana wawili. Wakapigana wao kwa wao huko shambani wala huko hapakuwa na mtu hata mmoja wa kuwaamua. Mmoja akampiga mwenzake na kumuua.
Psalms 10:9Huvizia kama simba aliye mawindoni; 2 huvizia kumkamata mnyonge, 1 huwakamata wanyonge na kuwaburuza 2 katika wavu wake. 1
Psalms 16:1Ee Mungu, uniweke salama, 2 kwa maana kwako nimekimbilia. 1
Psalms 22:13Simba wangurumao wanaorarua mawindo 2 yao hupanua vinywa vyao dhidi yangu. 1
Psalms 35:15Lakini nilipojikwaa, 2 walikusanyika kwa shangwe; 1 washambuliaji walijikusanya dhidi yangu 2 bila mimi kujua. 2 Walinisingizia pasipo kukoma. 1