Zaburi 33:2
Msifuni Bwana kwa kinubi, 2 mwimbieni sifa kwa zeze la nyuzi kumi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Praise the LORD with harp: sing unto him with the psaltery and an instrument of ten strings.
In Context
1Mwimbieni Bwana kwa furaha, enyi wenye haki; 2 kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo. 1
3Mwimbieni wimbo mpya; 2 pigeni kwa ustadi, na mpaze sauti za shangwe. 1
Cross References
2 Samuel 6:5Daudi na nyumba yote ya Israeli walikuwa wanacheza mbele za Bwana kwa nguvu zao zote, kwa nyimbo, vinubi, zeze, matari, kayamba na matoazi.
1 Chronicles 15:28Hivyo Israeli wote wakalipandisha Sanduku la Agano la Bwana kwa shangwe, wakipiga pembe za kondoo dume, tarumbeta, matoazi, wakipiga zeze na vinubi.
1 Chronicles 25:6Hawa wanaume wote walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao kwa ajili ya uimbaji katika Hekalu la Bwana wakitumia matoazi, zeze na vinubi, kwa ajili ya huduma katika nyumba ya Mungu. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya usimamizi wa mfalme.
Psalms 81:2Anzeni wimbo, pigeni matari, 2 pigeni kinubi na zeze kwa sauti nzuri. 1
Psalms 92:3kwa zeze yenye nyuzi kumi 2 na kwa sauti ya kinubi. 1
Psalms 98:4Mpigieni Bwana kelele za shangwe, dunia yote, 2 ipaze sauti kwa nyimbo za shangwe na vinanda; 1