Zaburi 35:2
Chukua ngao na kigao. 2 Inuka unisaidie. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Take hold of shield and buckler, and stand up for mine help.
In Context
1Ee Bwana, pingana na wale wanaopingana nami, 2 upigane na hao wanaopigana nami. 1
Cross References
Deuteronomy 32:41wakati ninapounoa upanga wangu unaometameta 2 na mkono wangu unapoushika ili kutoa hukumu, 1 nitalipiza kisasi juu ya adui zangu 2 na kuwalipiza wale wanaonichukia. 1
Psalms 91:4Atakufunika kwa manyoya yake, 2 chini ya mbawa zake utapata kimbilio, 2 uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako. 1
Isaiah 42:13Bwana ataenda kama mtu mwenye nguvu, 2 kama shujaa atachochea shauku yake, 1 kwa kelele ataamsha kilio cha vita, 2 naye atashinda adui zake. 1