Kumbukumbu 32:41
wakati ninapounoa upanga wangu unaometameta 2 na mkono wangu unapoushika ili kutoa hukumu, 1 nitalipiza kisasi juu ya adui zangu 2 na kuwalipiza wale wanaonichukia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
40Ninainua mkono wangu kuelekea mbinguni na kusema: 2 Hakika kama niishivyo milele, 1
Cross References
Exodus 20:5Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
Deuteronomy 7:10Lakini 1 kwa wale wanaomchukia 2 atawalipiza kwenye nyuso zao 2 kwa maangamizi; 1 hatachelewa kuwalipiza kwenye nyuso zao 2 wale wamchukiao.
Psalms 7:12Kama hakutuhurumia, 2 atanoa upanga wake, 2 ataupinda na kuufunga uzi upinde wake. 1
Psalms 149:9ili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao. 2 Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote. 2 Msifuni Bwana.
Isaiah 27:1Katika siku ile, 1 Bwana ataadhibu kwa upanga wake, 2 upanga wake mkali, mkubwa na wenye nguvu, 1 ataadhibu Lewiathani + 27:1 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. yule nyoka apitaye kwa mwendo laini, 2 Lewiathani yule nyoka mwenye kujipinda; 1 atamuua joka huyo mkubwa sana wa baharini.
Isaiah 59:18Kulingana na kile walichokuwa wametenda, 2 ndivyo atakavyolipa 1 ghadhabu kwa watesi wake 2 na kisasi kwa adui zake, 2 atavilipa visiwa sawa na wanavyostahili. 1