Psalms 35:21
Hunifumbulia vinywa vyao wakisema, “Aha! Aha! 2 Kwa macho yetu wenyewe tumeliona.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yea, they opened their mouth wide against me, and said, Aha, aha, our eye hath seen it.
In Context
22Ee Bwana, umeona hili, usiwe kimya. 2 Usiwe mbali nami, Ee Bwana. 1
Cross References
Psalms 22:13Simba wangurumao wanaorarua mawindo 2 yao hupanua vinywa vyao dhidi yangu. 1
Psalms 40:15Wale waniambiao, “Aha! Aha!” 2 wafadhaishwe na iwe aibu yao. 1
Psalms 54:7Kwa maana ameniokoa katika shida zangu zote, 2 na macho yangu yamewatazama adui zangu kwa ushindi.
Isaiah 9:12Waashuru kutoka upande wa mashariki 2 na Wafilisti kutoka upande wa magharibi 2 wameila Israeli kwa kinywa kilichopanuliwa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1
Ezekiel 25:3Waambie, ‘Sikieni neno la Bwana Mwenyezi. Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kwa sababu ulisema, “Aha!” juu ya mahali pangu patakatifu palipotiwa unajisi, na juu ya nchi ya Israeli ilipoangamizwa, na juu ya watu wa Yuda walipokwenda uhamishoni,